Hujjatul Islam Hamid Shahriari
Hujjatul Islam Hamid Shahriari
TEHRAN (IQNA) – Msomi mwandamizi wa Kiislamu nchini Iran anasema matatizo mengi ya ulimwengu wa Kiislamu yanatokana na masuala ya kisiasa kati ya nchi.
Habari ID: 3475827 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23
Mazungumzo baina ya dini
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa Kazakhstan Sheikh Nauryzbay Kazhy Taganuly amepongeza nafasi ya kimkakati ya Iran katika kukuza mazungumzo kati ya dini mbali mbali.
Habari ID: 3475789 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15